Powered by Blogger.

Matatizo ya walimu, kudharaulika kwa walimu hutokana na walimu ...


Matatizo ya walimu, kudharaulika kwa walimu hutokana na walimu wenyewe. Mwalimu mwenye shida anapoenda kwenye ofisi za halmashauri husika ili aweze kutatuliwa shida zake, kilio cha huyu mwalimu huongezeka zaidi anapokutana na mwalimu aliyejiendeleza kimasomo kwa kuunga unga na hatimaye akaachana na chaki sasa yuko ofisini either ni afisa elim, mtaaluma n.k. Mwalimu huyu hutaka kuonesha kuwa yeye yupo level zingine hivyo huweza kumfokea, kumtukana, kumkashif, wakati mwingine hata kutomsaidia mwalim mwenzake kwa kigezo tu eti kwa kuwa yeye si mwalim tena hivyo husahau alikotoka.

Je, kuna haja walim waliojiendeleza kupewa ofisi ili kuwahudumia walim wenzao au wabaki kupiga chaki na degree zao?
By,


Expert Member Of #open_grade_A
Mwl. Ayubu
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment